Dec 25, 2017 Ibada ya Misa ya Takatifu, Sikukuu ya X-Mass, Kanisa katoliki la Mt. Petro - Oyster Bay. MISA TAKATIFU YA KUMBUKUMBU YA MWAKA MPYA 2017 KUTOKA PAROKIA YA Mt. BENEDIKTO ABATE. Wasabato wanadai Kanisa la Katoliki walibadirisha siku ya ibada iwe Jumapili. Kamusi elezo Kwa masomo ya Misa takatifu za kila siku, historia za. Ya Kanisa Katoliki Start Download Portable Document Format (PDF).
![Ibada Ya Misa Takatifu Pdf Ibada Ya Misa Takatifu Pdf](/uploads/1/2/6/3/126323598/148938430.jpg)
![Ibada Ibada](/uploads/1/2/6/3/126323598/168102689.jpg)
Kwa waimbaji na wapendwa wa Muziki na chukua fursa hii kumshukuru Roho Mtakatifu sana yeye apeanae vipaji vyote vya kila namna ili kuumba upya mwili wake ambalo ni Kanisa lake na ulimwengu wote.
Mda mrefu nimeombwa na baadhi ya walimu na waimbaji kuwatumia miziki niliyotunga ili kusaidia na kuboresha Ibada zetu na kanisa lake Mungu nilikuwa na changamoto sana hasa kwa upande wa garama/ kufanya kopi kila wakati, maeneo ya kutuma ni mbali na mawasiliano ni shida n.k.
Hivyo kupitia mtandao huu ninamshukuru sana tena sana Roho wa Kristo kutuelekeza njia hii ambayo imerahisisha kila kitu atakaye muziki ni kuingia kwa mtandao na ku download ili twendele kumtukuza huyu Yesu Mungu wetu anayestahili Sifa zote.